Super human
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 1,147
- 749
Nna mdogo wangu ana bios-D , chem-E , phy-E anaweza kuchaguliwa afya?
Eti maombi ya vyuo vya afya wanaanza kutoa lin?
acha kudandia thread za watu.
Anaweza kwenda maana kwa matokeo ya kuanzia 2012 na kurudi nyuma anatakiwa awe na "ddd" kwa "pcb" mathematics na english ni sifa za ziada na kwa matokeo kuanzia 2013 mpaka leo inatakiwa "eee" kwa "pcb" km kawaida maths na eng ni sifa za ziada. Hiyo ni certificate ya kozi yoyote ya afya.
Ndugu naona unataka kuendesha Utapeli humu. ndugu ukipata EEEEEEEE Zote kwa Mujibu wa Necta hupati Result slip pia hata cheti hupati GPA NI 0 sasa hiyo E itakusaidia nini hapo kwenye kujiunga na vyuo vya Afya kwa taarifa tuu wanahitaji D Nne! za ,math,physics,Biology,Chemistry