Challya
JF-Expert Member
- Jun 10, 2019
- 469
- 606
Oyaaa wanaume wenzangu eeehh. Naomba mnijulishe makubaliano ya kikao cha mwisho kilichofanyika, mimi niliomba ruhusa kwa Mwenyekiti kutokana na kubanwa na majukumu. Mimi huwa nahudhuria vikao vyote vya sisi wanaume ila hiki cha mwisho tu ndio nimekosa. Sasa ebu naomba mnijulishe mambo yaliyokubaliwa na kupitishwa katika hiki kikao cha mwisho ili mwenzenu nisije dhalilika kwa kutofanya tuliyokubaliana!!!