Agenda zilikuwa nyingi sanaOyaaa wanaume wenzangu eeehh. Naomba mnijulishe makubaliano ya kikao cha mwisho kilichofanyika, mimi niliomba ruhusa kwa Mwenyekiti kutokana na kubanwa na majukumu. Mimi huwa nahudhuria vikao vyote vya sisi wanaume ila hiki cha mwisho tu ndio nimekosa. Sasa ebu naomba mnijulishe mambo yaliyokubaliwa na kupitishwa katika hiki kikao cha mwisho ili mwenzenu nisije dhalilika kwa kutofanya tuliyokubaliana!!!
Tuache kuwaumiza O degreeAgenda zilikuwa nyingi sana
Nakumbuka kama mbili tu
1. Usioe kabla hujala mzigo
2. Usitoe siri za mkeo kwa mchepuko au kwa watu wengine; Ni utovu wa nidhamu na ufala.
3. Usimuaibishe mkeo kwa kutembea na house girl.
4. Tuoe ili kuokoa jahazi la wanawake. Maisha ndiyo haya haya hakuna kingine kitakachobadilika.
Zingine subiri wachangiaji wanakuja