Naomba kujulishwa Shule Private za wasichana A-Level Mkoani Kilimanjaro zenye combi ya ECA

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,265
Wadau! Hamjambo wote? Binamu yangu mwalimu anataka kuhamia Kilimanjaro. Yeye anajiweza sana kwenye combination ya eca na anataka afundishe hayo masomo atakapokuja.

Je ni shule gani za binafsi za wasichana a-level mkoani Kilimanjaro zinazo-offer hiyo combi ili aanze ku-apply?

Natanguliza shukrani
 
Shule nyingine nzur ni scolastica & agape seminary(boys & girls).Pia kuna st.mary goreti hii ni ya girls bt nackia mwaka huu wamepokea boys..majengo nayo ni boy & girls.Ntajaribu kukuulizia nyingne pia
 
Kama hajali kufanyia kazi Arusha, ajaribu School of St Jude. Ipo Usa River.
 
Shule nyingine nzur ni scolastica & agape seminary(boys & girls).Pia kuna st.mary goreti hii ni ya girls bt nackia mwaka huu wamepokea boys..majengo nayo ni boy & girls.Ntajaribu kukuulizia nyingne pia

marygoret wanachukua boys mda mrefu mbona!
 
Kwanin anataka kufundisha shule za wasichana tu?
 
Back
Top Bottom