Asante Mwasi Sospeter ila ume-narrow choice yake mno. Ungenipa mbili tatu hivi ingekua poa sana.Akikosa nafasi hapo ata-apply shule ipi nyingine?Majengo secondary school...moshi,kilimanjaro.
Wadau! Hamjambo wote? Binamu yangu mwalimu anataka kuhamia Kilimanjaro. Yeye anajiweza sana kwenye combination ya eca na anataka afundishe hayo masomo atakapokuja.
Je ni shule gani za binafsi za wasichana a-level mkoani Kilimanjaro zinazo-offer hiyo combi ili aanze ku-apply?
Natanguliza shukrani
Shule nyingine nzur ni scolastica & agape seminary(boys & girls).Pia kuna st.mary goreti hii ni ya girls bt nackia mwaka huu wamepokea boys..majengo nayo ni boy & girls.Ntajaribu kukuulizia nyingne pia