johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wa kwetu mambo haya daahh [emoji102][emoji87]. Huu upepo wa nkomezi. Nasikia maandaki gold na cash za kigeni!Japo mimi sio mchumi, deni himilivu ni deni linalolipika na nchi kuendelea kuaminiwa na kukopesheka.
P
Nashukuru sana mkuu.Japo mimi sio mchumi, deni himilivu ni deni linalolipika na nchi kuendelea kuaminiwa na kukopesheka.
Deni ambalo sio himilivu ni kufikia kiwango cha mwisho cha kukopesheka. Pale unapokopa sana huku ukuaji wa uchumi wako hauendani sambamba na uwezo wako wa kulipa madeni yako hivyo kutengeneza madeni chechefu ambayo sio tuu ni mzigo kwa taifa bali hayalipiki...
No alisema deni la taifa ni himilivu ila kasi ya kuendelea kukua isipoendana na ukuaji wa uchumi, utafika wakati litakuwa sio himilivuCAG Assad alisema si himilivu akatishwa akaendelea kujisimamia akaitishwa zaidi bado akaendelea kuwa mzalendo wa kweli ikabidi asitafishwe ili asimuumbue malaika mkuu(shetani).
Mungu ni mwema wakati wote.
Kwa wale wale wabobezi wa masuala ya uchumi na fedha naomba kujua tafsiri sahihi ya deni la taifa kuwa "Himilivu"
Kila zama na kitabu chake!
👍No alisema deni la taifa ni himilivu ila kasi ya kuendelea kukua isipoendana na ukuaji wa uchumi, utafika wakati litakuwa sio himilivu
P
Kwamba linalipika, ukicheki rasilimali na vitega uchumi tulivyonavyo unadhani vina thamani ganiMungu ni mwema wakati wote.
Kwa wale wale wabobezi wa masuala ya uchumi na fedha naomba kujua tafsiri sahihi ya deni la taifa kuwa "Himilivu"
Kila zama na kitabu chake!
Maendeleo hayana vyama!Kabla ya kukujibu swali lako msingi,naomba kwanza uirudishe kwanza ile nukuu yako pendwa ya "MAENDELEO HAYANA VYAMA"!
Sikutaka ufafanuzi bali tafsiri!Kwamba linalipika, ukicheki rasilimali na vitega uchumi tulivyonavyo unadhani vina thamani gani
Ngoja tupige hesabu, mradi wa Stiegler's Gorge ni trilioni 7 kama ilivyo kwa Standard Gauge. Kwa maana hiyo ni sawa kusema zimefika trilioni 60. Sasa mbona miradi haijaisha na bado tunaenda kukopa kwa Wachina na wengineo ili kumalizia?Yaani inashangaza kuona utawala wa mkapa mpaka Jk uliacha deni la 45trilion lakini akaja mwamba Magufulu ndani ya miaka mitano tu kaacha deni 60trilioni na hakuna la maana alilolifanya likamalizika ni wizi tu na utapeli
Sikutaka ufafanuzi bali tafsiri!
Magufuli alikuwa anatuhadaa watanzania hakuwa na uzalendo wowoteNgoja tupige hesabu, mradi wa Stiegler's Gorge ni trilioni 7 kama ilivyo kwa Standard Gauge. Kwa maana hiyo ni sawa kusema zimefika trilioni 60. Sasa mbona miradi haijaisha na bado tunaenda kukopa kwa Wachina na wengineo ili kumalizia?
No alisema deni la taifa ni himilivu ila kasi ya kuendelea kukua isipoendana na ukuaji wa uchumi, utafika wakati litakuwa sio himilivu
P
Je tukisema "mtaji himilivu" maana yake nini?Mungu ni mwema wakati wote.
Kwa wale wale wabobezi wa masuala ya uchumi na fedha naomba kujua tafsiri sahihi ya deni la taifa kuwa "Himilivu"
Kila zama na kitabu chake!