Naomba kujunzwa sehemu nitakayo pata shamba kwa bei nafuu

Naomba kujunzwa sehemu nitakayo pata shamba kwa bei nafuu

pettymarcel

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2012
Posts
2,161
Reaction score
880
Habar wakuu samahan nataka kununua shamba ambalo halijawahi limwa hata mara moja ambalo ni pori naanza kufyeka naomba kujunzwa maeneo ambayo nitapata kununua kwa bei poa na taratibu za kufuata ningependelea maeneo ya Kisarawe Bagamoyo Tanga Morogoro Kibaha Same Karatu nk
 
Nina eka 30 katika kijiji cha Zegelo karibu na Mzenge wilaya ya Kisarawe. Kama uko serious niPM
 
Karatu Achana Kabisa Bei Huwezi.Morogoro Yapo Maeneo Mazuri Na Bei Ndogo Tu.
 
GEBA2013 Naomba unisaidie kwa huko Morogoro.naweza pata kwa bei gan?
 
Kaka kama uko serious nitafute kwenye hii email yangu eneo lipo bei ni nzuri usiwe na shaka utafanya kilimo mpaka uchoke maji ya mto ruvu yapo uzuri watu wa bagamoyo wanayapata baada ya sisi kuyatumia nitafute mkuu ntmgenesis@yahoo.com
 
Unataka \shamba la aina gani ?la kumwagilia au kilimo cha kawaida
 
haya bwana,, kwanini anitumie mimi...mm nipo arusha.

VP yule jamaa yako alipata Shamba? Make langu ulimwambia lipo mbali wakati yeye anaishi USA! Sasa sijui USA na Turiani wapi mbali! Wakati huo wachina wanatoka bara Asia mpaka lwanjilo chunya kuchimba dhahabu.
Wabongo mna mambo ya ajabu sana.
 
pettymarcel, kama bado unahitaji shamba, nina ekari 30 Kilosa zenye bonde lenye chem chem ya maji isiyokauka, nauza kwa mil 10. Negotiations zinaruhusiwa.

Tuwasiliane!
 
Back
Top Bottom