Umefaulu interview?Wakubwa naomba kuuliza viwango vya mishahara vya watumishi wa NIDA hulipwa shilingi ngapi kwa mwezi kama mshahara
Kuanzia wenye diploma hadi Degree hulipwa shilingi ngapi?
Kafanye kazi tu hayo mengine utajua mbele kwa mbele mkuu😁Wakubwa naomba kuuliza viwango vya mishahara vya watumishi wa NIDA hulipwa shilingi ngapi kwa mwezi kama mshahara
Kuanzia wenye diploma hadi Degree hulipwa shilingi ngapi?