Naomba kujuwa namna mwalimu anavyoweza kushift kutoka Ualimu Sekondari Hadi Ualimu vyuo vya Kati!

Weakman

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2021
Posts
995
Reaction score
1,607
Nawasalimu nyote!

Mada hapo juu yahusika!

Kwa kufahamu kuwa wapo waalimu wa vyuo vya Kati humu ndani, ambao awali walikuwa wanafundisha shule za Sekondari, nimeona nilete ombi hili la kuwasihi walete namna mbalimbali ambazo wao ziliwawezesha kuingia huko!

Je, walifanyaje kuhamia vyuo vya diploma?

Natanguliza shukrani!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nawajua walimu wawili wa vyuo vya kati ambao mmoja alikuwa wa shule ya msingi na mwingine wa sekondari.
Njia zilizotumika wao kuwa walimu wa vyuo vya kati ni mbili;
1) Kuomba kuhamia kwenye chuo husika kwa kuandika barua ya kuomba kuhamia kwenda kwa katibu mkuu wa utumishi wa umma, baada ya kupata uhakika kuwa nafasi ipo katika chuo hicho.

2) Kuomba kazi kupitia Sekretarieti ya Ajira pindi nafasi za kazi zinapotangazwa katika chuo husika,
Ambapo wanaochaguliwa wanafanya usaili na wataofaulu wanapangiwa kazi.

Muhimu: Barua za michakato hii hupitia kwa mwajiri wako.
Na walimu hao wote wana GPA ya 3.5+ kwenye shahada ya kwanza.
 
Uko sahihi.

Pia, Sasa hivi Kuna mfumo online wa kuomba Uhamisho.

Nadhani mpaka July, Utakuwa kwenye matumizi

ess.utumishi.go.tz

Bofya, vacancy request, then search taasisi unayoulizia
 
Andika barua kwa katibu mkuu wizara ya elimu omba kuwa mkufunzi
 
Uko sahihi.

Pia, Sasa hivi Kuna mfumo online wa kuomba Uhamisho.

Nadhani mpaka July, Utakuwa kwenye matumizi

ess.utumishi.go.tz

Bofya, vacancy request, then search taasisi unayoulizia
Sawasawa kabisa mkuu.
 
Kwasasa kuwa mkufunzi mpaka uwe na Shahada ya Pili na uzoefu kazini wa miaka miwili. Lakini before ilikuwa uwe na TGTS E na Shahada ya kwanza nakuendelea, masters haikuwa kipaumbele
 
Mimi nawajua walimu wawili wa vyuo vya kati ambao mmoja alikuwa wa shule ya msingi na mwingine wa sekondari.
Njia zilizotumika wao kuwa walimu wa vyuo vya kati ni mbili;
1) Kuomba kuhamia kwenye chuo husika kwa kuandika barua ya kuomba kuhamia kwenda kwa katibu mkuu wa utumishi wa umma, baada ya kupata uhakika kuwa nafasi ipo katika chuo hicho.

2) Kuomba kazi kupitia Sekretarieti ya Ajira pindi nafasi za kazi zinapotangazwa katika chuo husika,
Ambapo wanaochaguliwa wanafanya usaili na wataofaulu wanapangiwa kazi.

Muhimu: Barua za michakato hii hupitia kwa mwajiri wako.
Na walimu hao wote wana GPA ya 3.5+ kwenye shahada ya kwanza.
Je napataje uhakika kuwa nafasi hipo
 
Kwenye mfumo ni taasis gan ambayo inadeal na ukufunzi.. ni NACTVET au ipi?
Uko sahihi.

Pia, Sasa hivi Kuna mfumo online wa kuomba Uhamisho.

Nadhani mpaka July, Utakuwa kwenye matumizi

ess.utumishi.go.tz

Bofya, vacancy request, then search taasisi unayoulizia
 
Kwasasa kuwa mkufunzi mpaka uwe na Shahada ya Pili na uzoefu kazini wa miaka miwili. Lakini before ilikuwa uwe na TGTS E na Shahada ya kwanza nakuendelea, masters haikuwa kipaumbele
Vigezo vya GPA ni vipi?
 
Back
Top Bottom