Mimi nawajua walimu wawili wa vyuo vya kati ambao mmoja alikuwa wa shule ya msingi na mwingine wa sekondari.Nawasalimu nyote!
Mada hapo juu yahusika!
Kwa kufahamu kuwa wapo waalimu wa vyuo vya Kati humu ndani, ambao awali walikuwa wanafundisha shule za Sekondari, nimeona nilete ombi hili la kuwasihi walete namna mbalimbali ambazo wao ziliwawezesha kuingia huko!
Je, walifanyaje kuhamia vyuo vya diploma?
Natanguliza shukrani!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Uko sahihi.Mimi nawajua walimu wawili wa vyuo vya kati ambao mmoja alikuwa wa shule ya msingi na mwingine wa sekondari.
Njia zilizotumika wao kuwa walimu wa vyuo vya kati ni mbili;
1) Kuomba kuhamia kwenye chuo husika kwa kuandika barua ya kuomba kuhamia kwenda kwa katibu mkuu wa utumishi wa umma, baada ya kupata uhakika kuwa nafasi ipo katika chuo hicho.
2) Kuomba kazi kupitia Sekretarieti ya Ajira pindi nafasi za kazi zinapotangazwa katika chuo husika,
Ambapo wanaochaguliwa wanafanya usaili na wataofaulu wanapangiwa kazi.
Muhimu: Barua za michakato hii hupitia kwa mwajiri wako.
Andika barua kwa katibu mkuu wizara ya elimu omba kuwa mkufunziNawasalimu nyote!
Mada hapo juu yahusika!
Kwa kufahamu kuwa wapo waalimu wa vyuo vya Kati humu ndani, ambao awali walikuwa wanafundisha shule za Sekondari, nimeona nilete ombi hili la kuwasihi walete namna mbalimbali ambazo wao ziliwawezesha kuingia huko!
Je, walifanyaje kuhamia vyuo vya diploma?
Natanguliza shukrani!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sawasawa kabisa mkuu.Uko sahihi.
Pia, Sasa hivi Kuna mfumo online wa kuomba Uhamisho.
Nadhani mpaka July, Utakuwa kwenye matumizi
ess.utumishi.go.tz
Bofya, vacancy request, then search taasisi unayoulizia
Je napataje uhakika kuwa nafasi hipoMimi nawajua walimu wawili wa vyuo vya kati ambao mmoja alikuwa wa shule ya msingi na mwingine wa sekondari.
Njia zilizotumika wao kuwa walimu wa vyuo vya kati ni mbili;
1) Kuomba kuhamia kwenye chuo husika kwa kuandika barua ya kuomba kuhamia kwenda kwa katibu mkuu wa utumishi wa umma, baada ya kupata uhakika kuwa nafasi ipo katika chuo hicho.
2) Kuomba kazi kupitia Sekretarieti ya Ajira pindi nafasi za kazi zinapotangazwa katika chuo husika,
Ambapo wanaochaguliwa wanafanya usaili na wataofaulu wanapangiwa kazi.
Muhimu: Barua za michakato hii hupitia kwa mwajiri wako.
Na walimu hao wote wana GPA ya 3.5+ kwenye shahada ya kwanza.
Uko sahihi.
Pia, Sasa hivi Kuna mfumo online wa kuomba Uhamisho.
Nadhani mpaka July, Utakuwa kwenye matumizi
ess.utumishi.go.tz
Bofya, vacancy request, then search taasisi unayoulizia
Vigezo vya GPA ni vipi?Kwasasa kuwa mkufunzi mpaka uwe na Shahada ya Pili na uzoefu kazini wa miaka miwili. Lakini before ilikuwa uwe na TGTS E na Shahada ya kwanza nakuendelea, masters haikuwa kipaumbele