Naomba kujuza kuhusu IAA kampasi ya DSM

mzizi1

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2017
Posts
265
Reaction score
703
Naomba Kujuzwa zaidi kuhusu chuo cha IAA kampasi ya DSM

Msaada tutani, ninafikiria kwenda shule mwakani na chaguo ni IAA kusoma masters kwa mwaka mmoja, kuna mradi watanisapoti na kulingana na contents yao naona kama vitu vingi vinafaa. Naomba kuuliza mwenye ufahamu kuhusu ndaki hii, mazingira, shule kiujumla na culture yao.

Kuna target isipofikiwa, mradi utakatisha ufadhili.

Karibuni ndugu kunipatia chakula cha ubongo
 
Mods naomba title irekebishwe na iwe "Kujuzwa"
 
Naomba Kujuzwa zaidi kuhusu chuo cha IAA kampasi ya DSM

Msaada tutani, ninafikiria kwenda shule mwakani na chaguo ni IAA kusoma masters kwa mwaka mmoja, kuna mradi watanisapoti na kulingana na contents yao naona kama vitu vingi vinafaa. Naomba kuuliza mwenye ufahamu kuhusu ndaki hii, mazingira, shule kiujumla na culture yao.

Kuna target isipofikiwa, mradi utakatisha ufadhili.

Karibuni ndugu kunipatia chakula cha ubongo
 
Kujuzwa kuhusu nini? Jipambanunue ueleweke.
 
Sahihi anataka kujua nini
Au akasome nelson mandela miaka 2
 
Hii master of Information Security inayotolea kampasi ya Dar, mradi utanihitaji nisome huku nafanya kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…