lake Ngonsi
Member
- Dec 18, 2022
- 13
- 48
Tanganyika si jina la ziwa,Wanazuoni.
Naomba anayefahamu asili ya Neno Tanganyika ni ipi? Ingawa nasikia hata DRC Kuna sehemu inaitwa Tanganyika.
Wazee wa zaman au wasomi wa historia msaada tafadhari
Kwa hiyo wazungu walikua wanajua kiswahili au sio?Tanganyika inatokana na maneno mawili, Tanga na nyika. Tanga maana yake zurura, hangaika, tembea bila kufika mwisho, ukiachana na Tanga ambayo ni shuka la mashua.
Nyika ni uwanda mpana wa kisavana , walipokuja wazungu kutokana na ukubwa wa nchi hii wakaipa jina la Tanganyika, nchi ya kisavana isiyo na mwisho.
Wenyeji...Kwa hiyo wazungu walikua wanajua kiswahili au sio?