Naomba kujuzwa Bachelor of Cyber Security

Naomba kujuzwa Bachelor of Cyber Security

DISLIKER

Member
Joined
Jul 29, 2023
Posts
43
Reaction score
39
Jamanii naomba msaada kwa wanaofahamu hii kozi na soko lake hapa nchini.

Na je inahusiana na nini hasa?
 
TCU guide book ikwapi tukusaidie kusoma?
 
Unachagua course na huijui ndio shida yake..

Hiyo course kama hujui hata inahusiana na nini usiisome utaenda Kudisco au tutaendelea kuwa na GRADUATE wajinga wajinga ktk soko.
 
Unachagua course na huijui ndio shida yake..

Hiyo course kama hujui hata inahusiana na nini usiisome utaenda Kudisco au tutaendelea kuwa na GRADUATE wajinga wajinga ktk soko.
Sasa ndugu aulizae si anataka jua na sio kwambaa ni mimi nae taka soma hapana.WAKATI MWINGINE USIJICHOCHE UJUAJI KAMA SIO MJUAJI
 
Jamanii naomba msaada kwa wanaofahamu hii kozi na soko lake hapa nchini. Na je inahusiana na nini hasa
Niko na dogo hapa anaisoma anaingia mwaka wa pili naona wanasoma sana mambo ya system security.
Ila naona ana mawazo ya hacking tu na haamini kila kitu amejaza mapassword kama vile ana data za thamani.
 
Sasa ndugu aulizae si anataka jua na sio kwambaa ni mimi nae taka soma hapana.WAKATI MWINGINE USIJICHOCHE UJUAJI KAMA SIO MJUAJI
Sio ujuaji.. elimu yetu hapa TZ wengi tunasoma kwa mkumbo hatujui exactly nini tunataka.

Wewe course ipo directly kabisa CYBER SECURITY alafu unauliza hivyo hivyo inahusiana na nini?

Sawa sawa usikie kuna mafunzo ya UDEREVA alafu unauliza kazi za DEREVA.

ALL in All nimekupa na ushauri, iwe ni wewe au huyo unayesema ndio anataka kujifunza, mwambie kabisa kama hajui nini maana ya Cyber security asithubutu kuisoma hiyo course. Maana kuna asilimia kubwa hata Computer kuwasha hajui.
 
Back
Top Bottom