Naomba kujuzwa bei na urefu wa mzingo wa senyenge

Naomba kujuzwa bei na urefu wa mzingo wa senyenge

DENAMWE

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2019
Posts
862
Reaction score
871
Nahitaji kufahamu bei na urefu wa senyenge hizi kwa mzingo mmoja: i) Barbed wire ii) Galvanized razor wire
 
Utasubiri wamalizane mara paap mwaka umeisha.

Nakushauri pitia maduka ya ujenzi maeneo tofauti kama manne kujua bei zao alafu ulinganishe, hapa jukwaani unaweza kuzeeka.

Note; me mwenyewe leo ndiyo nimeingia toka miezi kadhaa nyuma 😁!
 
Back
Top Bottom