Naomba kujuzwa bei ya Chainsaw

Naomba kujuzwa bei ya Chainsaw

Sir Kisesa

Member
Joined
Jan 30, 2020
Posts
25
Reaction score
23
Habari, naomba kujua aina gani ya Chainsaw mashine ni bora kwa kupasua mbao

Na bei zake zikoje kwa Dar

Nasoma coments
 
Hansqavana


Bei 2.1 M, kama Upo tiyari nicheki PM
 
Njoo nikuuzie bei Million 1.3 inakataka miti ya aina yoyote ile inapasua mbao za aina zozote zile
 
Back
Top Bottom