Aigle
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 1,540
- 7,973
Wakuu wafanyabiashara hamjambo humu! Nataka kujua Bei ya basi aina ya YUTONG ni kiasi gani na kama unanunua nje ya nchi, hadi kufika hapa kwetu ni thamani ya shilingi ngapi mpaka naipata mkononi.
Na pia ipi njia bora kati ya kuagiza au kununua mpya au kununua kutoka kwa mtu!
Asanteni!
Na pia ipi njia bora kati ya kuagiza au kununua mpya au kununua kutoka kwa mtu!
Asanteni!