Naomba kujuzwa bei ya mbegu ya mahindiya Tembo Seedco

Naomba kujuzwa bei ya mbegu ya mahindiya Tembo Seedco

Mbegu hii ya seedco ya Mahindi inayo komaa kwa muda mrefu, Naomba kujua Bei yake kwa wakulima wanayo jua
Ni kwamba, mbegu za mahindi Seedco chapa Tembo C719 ni mbegu ambazo baadhi ya mikoa hapa Tanzania kuzipata ni vigumu maana ni mbegu ambazo zinalimwa mikoa yenye mvua nyingi kama Katavi, Rukwa, Ruvuma, Mbeya, songwe, Iringa nk.
Kwa mikoa yenye mvua chache upatikanaji wa mbegu hizi ni vigumu.
Kwa mkoa wa KATAVI mbegu zinauzwa Kwa Bei ya 13000 Kwa wauzaji wa Jumla wa kampuni ya Seedco. Ukiwa Kwa mkoa wa KATAVI fika kwenye Duka la Mbwilo utazipata na anauza Bei nzuri. Kama una duka na unataka kuuza wasiliana na Seedco Arusha utazipata au ingia Instagram tafuta Seedco utawapata na pia utakuta namba zao.
 
Back
Top Bottom