Naomba kujuzwa bei ya nyumba Avic town, Kigamboni

Acehood

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,653
Reaction score
2,792
Habari wakuu.
Hivi zile nyumba(avic town) pale kigamboni, bei yake ina range kuanzia shilingi ngapi?. Yale mazingira yanavutia kwa kweli.
 
Kuna watu wanaishi hapo? Nilipita wiki mbili zilizopita hakuonekani kama kuna wakazi.
 
Kuna watu wanaishi hapo? Nilipita wiki mbili zilizopita hakuonekani kama kuna wakazi.
Duh sijajua mkuu, sijawahi fika Hilo eneo naonaga tu mtandaoni
 
kuna mtu anaelekea kuingizwa 'cha kike'...……………..
 
Kuna watu wanaishi hapo? Nilipita wiki mbili zilizopita hakuonekani kama kuna wakazi.
Mi naonaga wasanii wakienda kufanya shooting tu ila kiukweli simjui mtu hata mmoja anaeishi huko, sijui kwavile mimi ni kapuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…