Asante mdau. Unaposema refribushed unamaanisha nini?pc sana sana una angalia specification ilizo nazo, generation. kwa beii apo kwa dukani kama anda kwanzia 400k au zaidi na nyingi uwa zinakuwa refribushed pia usisahau kuangali processor ake apo sas uta angalia unataka prossessor ipi..
ni used sema zimetumika uko njeeAsante mdau. Unaposema refribushed unamaanisha nini?
Vema. Unaweza niorodheshea baadhi ya specifications muhimu za kuangalia kama inazo ambazo zinaendana na matumizi niliyoainisha kwenye uzi(Nahitaji ya kuitumia kufanyia Application za vyuo na pia materials za kusomea)PC hauangalii brand bali unaangalia specifications kutokana na unazohitaji.
HP, Dell, Lenovo, Acer kote zipo mbovu na bora kuliko nyingine.
Kwa nini unayafuta Lenovo
niliitaja kama mfano pamoja na dell lkn muhimu ninachohitaji ni ufafanuzi wa kina kuhusu utendaji kazi na specifications ninazopaswa kuzingatia kabla ya kununua.Kwa nini unayafuta Lenovo
Hapa itabidi tumuite Chief-Mkwawa.Vema. Unaweza niorodheshea baadhi ya specifications muhimu za kuangalia kama inazo ambazo zinaendana na matumizi niliyoainisha kwenye uzi(Nahitaji ya kuitumia kufanyia Application za vyuo na pia materials za kusomea)