Naomba kujuzwa bei ya pikipiki za kike

Naomba kujuzwa bei ya pikipiki za kike

Nyangabo2022

Senior Member
Joined
Nov 13, 2022
Posts
126
Reaction score
195
Wadau Mimi nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye maada.

Nimekuwa nikipata tabu Sana kupata usafiri wa pikipiki kwa ajili ya mtu wañgu wa kike ili imrahisishie kufika kazini kwa wakati, nimetembelea mitandaoni nimekuta hiz zinaitwa click za kuchaj pamoja na za petrol nikawa sijasuuzika nafsi.

Nimejitokeza kwenu kama kuna mwenye kujua zinapouzwa boda ambazo zina uwazi sehemu ya tenk na kumuwezesha mwanamke kuendesha kwa aman hata akiwa kavaa sket, je Bei zpoje? Karbuni.

Screenshot_20230704-140820.png
 
Back
Top Bottom