miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Habarini za muda huu wakuu? Salama?
Ninaomba msaada wa bei ya ufuta kwa sasa.
Asanteni sana
Ninaomba msaada wa bei ya ufuta kwa sasa.
Asanteni sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unazingua mkuu.mcheki ustaadh Bashe
Nimeulizia bei ya sokoni mkuu. Bei ya soko.Una uza? Ama una nunua?
Bei zilisimamaje mwaka huu kwenye minada mkuu?Mh mkuu msimu wa ufuta s ushamalizika
Vp unataka bei ya soko la dunia au ya nchini?
Makampun makubwa ambayo yananunua ufuta mengi yashaanza kusafirisha kwenda soko la dunia
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app