Naomba kujuzwa bei ya Tikiti kwa Dar es Salaam

Naomba kujuzwa bei ya Tikiti kwa Dar es Salaam

Tawire

Member
Joined
Apr 21, 2022
Posts
32
Reaction score
64
Habari za muda wakuu,

Naomba kujua bei ya sasa kwa jumla sokoni kwa tikiti maji, Zinazotarajiwa kuvunwa shambani wiki ijayo,shamba liko Pemba Mnazi Kigamboni.

Naomba kuwasilisha.
 
Shida ya perishables (matunda, mbogamboga) ndio hiyo. Zikishakomaa utauza hata kwa hasara bila kuwa na njia mbadala tofauti na cereals ambazo unaweza kutunza kusubiri mabadiliko ya soko. Sorry; nimeweka maoni yangu bila kujibu swali lako.
 
Back
Top Bottom