Tawire Member Joined Apr 21, 2022 Posts 36 Reaction score 70 May 23, 2024 #1 Habari za muda wakuu, Naomba kujua bei ya sasa kwa jumla sokoni kwa tikiti maji, Zinazotarajiwa kuvunwa shambani wiki ijayo,shamba liko Pemba Mnazi Kigamboni. Naomba kuwasilisha.
Habari za muda wakuu, Naomba kujua bei ya sasa kwa jumla sokoni kwa tikiti maji, Zinazotarajiwa kuvunwa shambani wiki ijayo,shamba liko Pemba Mnazi Kigamboni. Naomba kuwasilisha.
dudus JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 25,370 Reaction score 57,943 May 25, 2024 #2 Shida ya perishables (matunda, mbogamboga) ndio hiyo. Zikishakomaa utauza hata kwa hasara bila kuwa na njia mbadala tofauti na cereals ambazo unaweza kutunza kusubiri mabadiliko ya soko. Sorry; nimeweka maoni yangu bila kujibu swali lako.
Shida ya perishables (matunda, mbogamboga) ndio hiyo. Zikishakomaa utauza hata kwa hasara bila kuwa na njia mbadala tofauti na cereals ambazo unaweza kutunza kusubiri mabadiliko ya soko. Sorry; nimeweka maoni yangu bila kujibu swali lako.