Naomba kujuzwa bei ya ufuta

Naomba kujuzwa bei ya ufuta

Abdistar

Member
Joined
Feb 26, 2019
Posts
39
Reaction score
26
Mambo vipi wakuu.

Naomba kujua bei ya ufuta kutoka shamba inanunuliwa kwa shilingi ngapi kwa kilo nina kama gunia tano 5

Nipo Moshi Kilimanjaro, mawasiliano 0657291795

1619255460594.png
 
Back
Top Bottom