Naomba kujuzwa bei ya vifaa hivi vya ujenzi

Naomba kujuzwa bei ya vifaa hivi vya ujenzi

mjoli wa kweli

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2017
Posts
630
Reaction score
385
Ndugu Amani na iwe kenu.

Kwa wazoefu wa kuuza/ kununua, waashi na wahandisi wa majengo, naomba kujuzwa bei elekekezi kwa vifaa tajwa hapo chini
1. Mfuko wa Cement
2. Nondo (12Mm)
3. Nondo (16 Mm)
4. Tofali za kuanzia msingi (Ngumu)
5. Tofali za ukuta
6. Tipa la mchanga
7. Tipa la Mawe
8. Tipa la Udongo

Eneo la ujenzi ni Arusha Mjini.

Natanguilza shukrani za dhati.
 
Ndugu Amani na iwe kenu.

Kwa wazoefu wa kuuza/ kununua, waashi na wahandisi wa majengo, naomba kujuzwa bei elekekezi kwa vifaa tajwa hapo chini
1. Mfuko wa Cement
2. Nondo (12Mm)
3. Nondo (16 Mm)
4. Tofali za kuanzia msingi (Ngumu)
5. Tofali za ukuta
6. Tipa la mchanga
7. Tipa la Mawe
8. Tipa la Udongo

Eneo la ujenzi ni Arusha Mjini.

Natanguilza shukrani za dhati.
Arusha kuna wakala wa simba cement wana bei zimepoa sana 15600/bag imezidi sana 16000/bag
 
Ndugu Amani na iwe kenu.

Kwa wazoefu wa kuuza/ kununua, waashi na wahandisi wa majengo, naomba kujuzwa bei elekekezi kwa vifaa tajwa hapo chini
1. Mfuko wa Cement
2. Nondo (12Mm)
3. Nondo (16 Mm)
4. Tofali za kuanzia msingi (Ngumu)
5. Tofali za ukuta
6. Tipa la mchanga
7. Tipa la Mawe
8. Tipa la Udongo

Eneo la ujenzi ni Arusha Mjini.

Natanguilza shukrani za dhati.

Idadi ya tofali inategemea na na ukubwa wa ramani yako, weka ramani usaidiwe
 
Msaidie ulivyo elewa basi instead
Nilivoelewa ni kwamba anahitaji kufahamu bei ya vifaa vya ujenzi kama alivoorodhesha hapo juu kwa mkoa wa Arusha. Sitokuwa na msaada kwa kuwa siishi Arusha. Wewe umeelewaje????????????????
 
Ukitaka sement nyingi lwa bei ya jumla, nicheki pm, pia nondo.

Kama upo dar siment tunauza kuanzia mifuko 200 siment ya twiga.
 
Tunauza mbao kwa bei ya jumla.Njoo ofisini kwetu TEGETA tukuhudumie kwa gharama nafuu sana:-
2*2 fut12=2500
2*2 fut12(treated) ya dawa=2800
2*2 fut18(treated) ya dawa=5000
2*4 fut12 treated(ya dawa)=5000
2*4 fut12 isiyo ya dawa=4500
1*6 fut12=5000
1*8 fut12=8500
1*8fut12 ya fisher board(treated)=9500
1*10 fut12=13500
1*10fut 18 fisher board( treated)=15500
2*4 fut18(treated)=9500
2*6 fut12=8000
1*4 fut12=2800
2*6 fut 18=19000
Tunapatikana muda wote kwa namba za simu zifuatazo:-
----0759630751
----0687371138
----0654830416

vile vile kuna huduma ya kuchana,kuranda na kusize mbao inapatikana ofisini kwetu
 
Back
Top Bottom