mjoli wa kweli
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 630
- 385
Arusha kuna wakala wa simba cement wana bei zimepoa sana 15600/bag imezidi sana 16000/bagNdugu Amani na iwe kenu.
Kwa wazoefu wa kuuza/ kununua, waashi na wahandisi wa majengo, naomba kujuzwa bei elekekezi kwa vifaa tajwa hapo chini
1. Mfuko wa Cement
2. Nondo (12Mm)
3. Nondo (16 Mm)
4. Tofali za kuanzia msingi (Ngumu)
5. Tofali za ukuta
6. Tipa la mchanga
7. Tipa la Mawe
8. Tipa la Udongo
Eneo la ujenzi ni Arusha Mjini.
Natanguilza shukrani za dhati.
Ndugu Amani na iwe kenu.
Kwa wazoefu wa kuuza/ kununua, waashi na wahandisi wa majengo, naomba kujuzwa bei elekekezi kwa vifaa tajwa hapo chini
1. Mfuko wa Cement
2. Nondo (12Mm)
3. Nondo (16 Mm)
4. Tofali za kuanzia msingi (Ngumu)
5. Tofali za ukuta
6. Tipa la mchanga
7. Tipa la Mawe
8. Tipa la Udongo
Eneo la ujenzi ni Arusha Mjini.
Natanguilza shukrani za dhati.
Hivi hakuna tofauti kati bei na idadi? Au mimi ndiyo sijaelewa hoja. TZ bana kila siku ni jumapili.Idadi ya tofali inategemea na na ukubwa wa ramani yako, weka ramani usaidiwe
Msaidie ulivyo elewa basi insteadHivi hakuna tofauti kati bei na idadi? Au mimi ndiyo sijaelewa hoja. TZ bana kila siku ni jumapili.
Nilivoelewa ni kwamba anahitaji kufahamu bei ya vifaa vya ujenzi kama alivoorodhesha hapo juu kwa mkoa wa Arusha. Sitokuwa na msaada kwa kuwa siishi Arusha. Wewe umeelewaje????????????????Msaidie ulivyo elewa basi instead