Jamani ninaomba kujua bei ya vitunguu huko arusha.maeneo ya karatu,kwa wakulima.nataka kufanya biashara ya kuleta hapa dar-asanteni kwa ushirikiano wenu.
Ningekushaauri uangalie maeneo kama Ruaha Mbuyuni au Homboro Dodoma huko kidogo unaweza kupata kwa bei nzuri maana karatu wakenya wameshikilia soko bei yake inaweza kuwa kubwa kuliko ukienda hizo sehemu ingawa sijui ofa yako ni kiasi gani