didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 861
- 1,476
Wakuu naomba kujua bei za viwanja Boko hasa Ununuo road yaani Boko Basihaya na Boko kiujumla.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We unataka cha sh ngapi kiwanja?wakuu naomba kujua bei za viwanja boko hasa ununuo road yaan boko basiaya na boko kiujumla.
160 pee square meterUtanitag mkuu ukipata bei elekezi
Labda upande shoto kama wenda Bagamoyowakuu naomba kujua bei za viwanja boko hasa ununuo road yaan boko basiaya na boko kiujumla.
ununio road ipo upande wa kulia kama unaenda bgamoyoLabda upande shoto kama wenda Bagamoyo
ununio road ipo upande wa kulia kama unaenda bgamoyoLabda upande shoto kama wenda Bagamoyo
Hutawezaaa hukoo kwa sasa 20x20 ni zaidi 50milununio road ipo upande wa kulia kama unaenda bgamoyo
Nenda mabwepande shika 30mil 20x20ununio road ipo upande wa kulia kama unaenda bgamoyo
hata sina mpango wa kununua kuna kaz nilikua nafanya ndo ikiahitaji nijue bei zake za ardhi hukoHutawezaaa hukoo kwa sasa 20x20 ni zaidi 50mil
kuwa makini boko usije uziwa eneo mvua ikinyesha unahama mpaka msimu upitewakuu naomba kujua bei za viwanja boko hasa ununuo road yaan boko basiaya na boko kiujumla.
Ili usitapeliwe inabidi ufanye nini na nini?tegeta, bunju ununio, mapinga ukipata kiwanja huko bahati kuna matapeli kama wote
Umeokota madini au CAG amekukosakosa?wakuu naomba kujua bei za viwanja boko hasa ununuo road yaan boko basiaya na boko kiujumla.
Nenda jukwaa la matangazo madalali wapo wengi huko.Ahsante kwa ushaur ila usijal naelewa nachofanya