PRINCE CROWN JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,210 Reaction score 4,175 May 13, 2016 #1 wasalaam, wandugu watanzania wenzangu. Naomba waliopo mikoani wanijuze Bei ya Mashamba kwa heka Moja. Niwapi Ambapo Ardhi ni bei nafuu, nataka kuwekeza kwenye kilimo wandugu. Asanteni na Mungu Awabariki Sana.
wasalaam, wandugu watanzania wenzangu. Naomba waliopo mikoani wanijuze Bei ya Mashamba kwa heka Moja. Niwapi Ambapo Ardhi ni bei nafuu, nataka kuwekeza kwenye kilimo wandugu. Asanteni na Mungu Awabariki Sana.
M mwasu JF-Expert Member Joined Jul 13, 2011 Posts 10,161 Reaction score 11,536 May 13, 2016 #2 kondoa kwetu laki mbili unapata heka moja, karibu.
K konar JF-Expert Member Joined Jul 20, 2012 Posts 268 Reaction score 192 May 13, 2016 #3 Square metre 1 dodoma tshs 5000
maroon7 JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 11,311 Reaction score 15,640 May 19, 2016 #4 Tabora...hadi eka elfu 50 unapata...ila mbali na mji
Pierreeppah JF-Expert Member Joined Feb 2, 2014 Posts 1,563 Reaction score 1,982 May 21, 2016 #5 Arusha milioni 5 hivi 3-4kms kutoka barabara ya lami.
No Escape JF-Expert Member Joined Mar 7, 2016 Posts 6,663 Reaction score 7,785 May 21, 2016 #6 Mi naomba bei za maeneo tofauti DSM tu..
B BUSTER JF-Expert Member Joined Jan 20, 2015 Posts 254 Reaction score 67 May 21, 2016 #7 Japo umepotea jukwaa lkn nitakusaidia tu njoo pande za huku jangwani sahara kama ni ardhi tu utasalenda we mwene
Japo umepotea jukwaa lkn nitakusaidia tu njoo pande za huku jangwani sahara kama ni ardhi tu utasalenda we mwene
B BUSTER JF-Expert Member Joined Jan 20, 2015 Posts 254 Reaction score 67 May 21, 2016 #8 Japo umepotea jukwaa lkn nitakusaidia tu njoo pande za huku jangwani sahara kama ni ardhi tu utasalenda we mwene
Japo umepotea jukwaa lkn nitakusaidia tu njoo pande za huku jangwani sahara kama ni ardhi tu utasalenda we mwene
B BUSTER JF-Expert Member Joined Jan 20, 2015 Posts 254 Reaction score 67 May 21, 2016 #9 Japo umepotea jukwaa lkn nitakusaidia tu njoo pande za huku jangwani sahara kama ni ardhi tu utasalenda we mwene
Japo umepotea jukwaa lkn nitakusaidia tu njoo pande za huku jangwani sahara kama ni ardhi tu utasalenda we mwene
B BUSTER JF-Expert Member Joined Jan 20, 2015 Posts 254 Reaction score 67 May 21, 2016 #10 Japo umepotea jukwaa lkn nitakusaidia tu njoo pande za huku jangwani sahara kama ni ardhi tu utasalenda we mwene
Japo umepotea jukwaa lkn nitakusaidia tu njoo pande za huku jangwani sahara kama ni ardhi tu utasalenda we mwene
B BUSTER JF-Expert Member Joined Jan 20, 2015 Posts 254 Reaction score 67 May 21, 2016 #11 Japo umepotea jukwaa lkn nitakusaidia tu njoo pande za huku jangwani sahara kama ni ardhi tu utasalenda we mwene
Japo umepotea jukwaa lkn nitakusaidia tu njoo pande za huku jangwani sahara kama ni ardhi tu utasalenda we mwene
B BUSTER JF-Expert Member Joined Jan 20, 2015 Posts 254 Reaction score 67 May 21, 2016 #12 Japo umepotea jukwaa lkn nitakusaidia tu njoo pande za huku jangwani sahara kama ni ardhi tu utasalenda we mwene
Japo umepotea jukwaa lkn nitakusaidia tu njoo pande za huku jangwani sahara kama ni ardhi tu utasalenda we mwene
mswax Member Joined Dec 18, 2015 Posts 39 Reaction score 30 May 22, 2016 #13 Karibu sumbawanga ardhi inanrutumba nzuri sana na ekali moja ni kati ya tshs 150000 hadi 200000
bukoba boy JF-Expert Member Joined Jan 15, 2015 Posts 5,370 Reaction score 3,962 May 22, 2016 #14 Arusha bwawani heka za zilizopimwa kitaalam 3m.