SSMashinji
Senior Member
- Aug 10, 2023
- 129
- 191
Je uko maeneo gani na bei ya mahindi gunia moja. kwenu ikoje !
Tusaidiane Kujua unafuu uko wapi.
Thanks.
Tusaidiane Kujua unafuu uko wapi.
Thanks.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sumbawanga ukifika vijijini kalambo gunia ni 75,000 Kwa Sasa lakini Kwa Bei hii yanapatikana Kwa shida sana, kitendo Cha NFRA kuingia mtaani kusaka mahindi kimesababisha mahindi kupanda sana beiNipo hapa nasubir.....
Mkoani Dodoma, Wilaya ya Chemba katika kijiji cha Goima ni tsh. 85,000Je uko maeneo gani na bei ya mahindi gunia moja. kwenu ikoje !
Tusaidiane Kujua unafuu uko wapi.
Thanks.
View attachment 2713818
Simiyu sehemu ganiSimiyu 120, 000, gunia
Songea bei imeshuka kidog kwa sasa..Songea 85000