Angalau ps3 mkuu maana ps2 siku hizi hata kwa simu unacheza.Wakuu kabla sijaingia madukani kariakoo kutafuta used PlayStation naombeni muongozo wa bei na mambo mengine kitaalamu
Toleo
Iwe Ps 2 au Ps 3........ je matoleo haya bado yanaweza kukidhi haja na kupata game nzuri? Ni game gani naweza pata na game gani naweza zikosa
Vipi bei zake zipoje? Bajeti yangu isizidi 250k
Unaweza kufanya utundu kupata free game?
Cc Chief-Mkwawa