Naomba kujuzwa Bus zuri kutoka Dar to Babati Manyara

ngaillob

Member
Joined
Sep 15, 2011
Posts
66
Reaction score
32
Wakuu naomba mwenye uzoefu Basi gani ni zuri la kwenda Babati kutoka Dar na nauri ni sh ngapi natanguliza shukrani
 
Wakuu naomba mwenye uzoefu Basi gani ni zuri la kwenda Babati kutoka Dar na nauri ni sh ngapi natanguliza shukrani
nauri ### nauli.

Kwa mwandiko huu, ukapande Mtei au Emigrace zinakufaa, nauli zao ni buku sita tu (6).
 
Pita ubungo pale mkuu utapata maelekezo yote lakini pia unaweza tumia gari private hadi dodoma then ukaunga kutokea pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…