Naomba kujuzwa changamoto za gari ya Toyota Alphard na aina zake

Ushauri bora kabisaa huu
 
Driving skills zinazofanya mafuta yasiende sana ni zipi hizo?
 
Kwa siku una utembezi wa kilometa ngapi? Kama kilometa nyingi izo chuma zinabwia sana wese. Jiandae kwa 7km/L.
Kwa kipato cha kawaida hapo sio kabisa then Mtu naishi Tegeta kwenda Kariakoo. Ye":
We jamaa Mad Max una busara sana na umenifundisha kitu Muhimu sana. unanunua Gari ya Mkoani amnayo unaenda huko Mara moja kwa Mwaka au hakuna kabisa a inakukost Mwaka mzima hue endendesha
 
Sasa hiyo issue ya kutunza gari na kukwepa kwenda nalo kila mahali sasa lina maana gani?

Naend shopping niache gari nyumbani? Au naenda Saloon niache gari nyumbani nipande Boda boda? Ambaye ntamlipa elfu 3. Hii si pesa ya lita moja na itanipeleka na kunirudisha?
 
Nunueni Mitsubishi Outlander mfurahie maisha bhana mafuta ni kidogo tu kama gari ndogo machine unapita popote ukitaka mbio limo sana tu
Naliogopa Engine Size inatisha.....above 2500cc.

Au Engine size haiendani na Ubugiaji wa Mafuta?
 
Ushauri mzuri sana
 
Natamani sana ni miliki Alphard ila nakosa mtu wa kunipa Motisha.

7Km/L nayo inatisha mkuu sio kisaikolojia tu.

Nilitaka gari ya Tax ku move one statio. To another nafikiri 8seats sio mbaya au unanishauri vipi
 
Na wewe uliwekewa hizo Spancer?
 
Hizi familia zetu za kiswahili haziamini katika maendeleo binafsi. Watakuandama utadhani walikuchangia kununua gari zako.

Utasikia, "sasa wewe mtu anakaa na magari mawili yote pekee yake mama na baba hapa wanatembelea daladala na bajaji" halafu ndugu mwingine anajibu, "muacheni na migari yake, atakufa ataiacha michuma tu hiyo". [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Familia za kiswahili ndio kikwazo cha maendeleo afrika.
 
Mkuu Mimi ni mgeni ninaomba ushauri,
Ndo nimeanza maisha nataka kununua Gari kwa mara ya kwanza na bajeti yangu ni m5 je ninawezaje kupata gari yenye matumizi madogo ya mafuta? Kazini ni km 30 kwenda na kurudi. Nina familia pia ya watu watatu nikiwepo Mimi .naomba ushauri wakuu. Ninakaa Arusha .
Nitashukuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…