Tumpara Dudu
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 625
- 506
Salaam kwenu wana Great thinker.
Kwa mara nyingine tena najitokeza kwenu kuwaomba mnisaidie kujua ni kitabu gani cha Sarufi ya kiingereza au kwa lugha nyingine tunaita English Gramer, ambacho kina madini deep na ya kushibisha kuweza kujifunza mwenyewe kanuni za Luga ya kiingereza?