Naomba kujuzwa chimbo la maharage bei ya jumla

Nassor Mussa

New Member
Joined
Mar 9, 2017
Posts
4
Reaction score
4
Kwa wale wenye uzoefu na biashara ya maharage napenda kuuliza eti debe moja ya maharage inakadiliwa kuwa na kilo ngapi?

Au gunia lenye kilo 100 la maharage linakuwa na debe ngapi?

Msaada please
 
Sumbawanga wanalima Maharagwe bei kitonga.
 
Debe 1 ni sawa na kilo 20 , mimi nipo Mbeya Debe 1 lina range elfu 45-52 hapo inatokana na ubora wa Maharage
 
Back
Top Bottom