Naomba kujuzwa chimbo la vitambaa vya kushona

Naomba kujuzwa chimbo la vitambaa vya kushona

Black Mann

Senior Member
Joined
Jun 30, 2020
Posts
140
Reaction score
209
Habari za muda huu,
Naomba Kwa anayejua machimbo ha vitambaa Kwa bei nzuri ya Jumla na vijora!

Vitambaa nataka nikauze nje ya mji na huwa Mita inakuwa 3,000 na 3,500 naomba anayejua wanapouza Kwa Jumla hapa dar na bei nzuri.
 
Mmh Ina maana wauza vijora faida wanapataje?mbona kilichoshonwa bila mtandio 6500?na Ni zaidi ya mita moja...Ngoja wenye kujua zaidi utapata Hadi 2500 kwa mita
 
Back
Top Bottom