B Black Mann Senior Member Joined Jun 30, 2020 Posts 140 Reaction score 209 Feb 6, 2022 #1 Habari za muda huu, Naomba Kwa anayejua machimbo ha vitambaa Kwa bei nzuri ya Jumla na vijora! Vitambaa nataka nikauze nje ya mji na huwa Mita inakuwa 3,000 na 3,500 naomba anayejua wanapouza Kwa Jumla hapa dar na bei nzuri.
Habari za muda huu, Naomba Kwa anayejua machimbo ha vitambaa Kwa bei nzuri ya Jumla na vijora! Vitambaa nataka nikauze nje ya mji na huwa Mita inakuwa 3,000 na 3,500 naomba anayejua wanapouza Kwa Jumla hapa dar na bei nzuri.
Joannah JF-Expert Member Joined May 8, 2020 Posts 20,921 Reaction score 49,014 Feb 6, 2022 #2 Mmh Ina maana wauza vijora faida wanapataje?mbona kilichoshonwa bila mtandio 6500?na Ni zaidi ya mita moja...Ngoja wenye kujua zaidi utapata Hadi 2500 kwa mita
Mmh Ina maana wauza vijora faida wanapataje?mbona kilichoshonwa bila mtandio 6500?na Ni zaidi ya mita moja...Ngoja wenye kujua zaidi utapata Hadi 2500 kwa mita