Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna chuo cha online kwa kozi hiyo hapa TzWakuu heshima yenu.
Niende moja kwa moja kwenye mada.Naomba kujua chuo kinachotoa certificate ya pharmacy ONLINE hapa tanzania.Mimi ni mwajiriwa wa serikali na nahitaji kusoma hii course.
Natanguliza shukrani.
Anataka kusoma onlineSt john mbeya
RUCU IRINGA
KCMC MOSHI
PARADIGM DR ILa uhuni mwingi hapa
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hamna pharmaceuticals online bongoAnataka kusoma online
Uganda vyuo vipo ila chagamoto ni MD wanahitaji average ya CCC kwa pcb. Ila pharmacy unapata tu vizuri ila ada ndo chagamoto pia ni kama 2.5m kwa semester.Habari za muda huu ndugu zangu naombeni msaada wa mawazo.
Ngoja nianze kwa maelezo mafupi kwanza nilimaliza A level - PCB miaka miwili iliyo pita na matokeo yangu hayakuwa mazuri kijumla nilikuwa na two ya 12 ambapo CHEM - C BIOS - C na PHY - S.
Nilijaribu kuomba Degree ila nilipataga Ualimu wa CHEM na BIOS. Wakati naomba degree niliomba pia na diploma ya medicine napo pia nilipata.
Kwakuwa ndoto zangu zilikuwa ni Udaktar ikanibidi niende diploma. Mwaka jana nilifanya mtihani wa NACTE na nilipata sup mbili ya clinical skills na patient care.
Nikaendelea kusoma level 5 sem 1 huku nikisubiria mwez wa 2 nichomoe supp zangu. Nikafanya mitihani ya level 5 sem 1 na supp zangu.
Juzi matokeo yakatoka level 5 sem 1 nilipata pass ya GPA ya 3.6 Ila level 4 clinical skills ikanikamata tena kwa hiyo nimepata RM ya clinical skills.
Jana Sir ametwambia wale wote wenye RM matokeo yao ya Level 5 sem 1 yatafutwa hvyo watabidi wasome tena upya baada ya kufaulu somo walilopata RM.
Kumbe waliletewa utaratibu kwanzia mwaka jana mwez wa 9 kuwa wenye supp wasiendele na level inayofuata mpaka watakapo chomoa masomo yao. Ila chuo chetu hawakutuambia kabisa hili swala awali na ada zetu walichokuwa bila kutuambia wanakuja kutuambia jana tena baada ya matokeo.
Naombeni msaada kwa haya mambo mawili la kwanza
"Kuna mtu aliniambia kwa hayo matokeo ya a level ambayo ni chem c bios c na phy s naweza pata chuo uganda hata kampala na weza pata ila inabidi nimtafute connection ya kunisaidia. Swali je kwa hayo matokeo ya a level naweza pata chuo uganda kusomea md au naweza pata nchi gani ila uwezo wa wazaz wangu mwisho ni mil 4? La pili.
"Je nifanye utaratibu gani endapo chuo kikigoma kunirudishia hela zangu au hakuna utaratibu wowote? (namaanisha hela yangu ya ada ya level 5 sem 1 ambayo ni 1.7m)".
Kama unaushauri wowote naomba unisaidie kwa kweli maana sielewi hadi muda huu na kikubwa ni muda tu ndio tatizo.
Asante sana na samahani kama nitakuwa nimetumia lugha vibaya na rm maana yake ni repeat module na supp maana yake ni supplementary