Naomba kujuzwa Chuo kizuri kusomea umeme wa Magari

Naomba kujuzwa Chuo kizuri kusomea umeme wa Magari

Mamserenger

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2019
Posts
1,156
Reaction score
2,092
Wakuu naomba kujuzwa chuo kizuri kwa ajili ya kusomea umeme wa magari.

Nalenga magari ya kisasa hasa haya ya kutoka Japan.
Ni chuo gani kizuri naweza jifunza umeme wa Magari tu.

Maana magari yanayo kuja sasa yapo so Electric...

Sasa naitaji kujing'amua kwenye hii ishu niweze kujiajiri.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom