Mamserenger JF-Expert Member Joined Oct 14, 2019 Posts 1,156 Reaction score 2,092 Mar 5, 2022 #1 Wakuu naomba kujuzwa chuo kizuri kwa ajili ya kusomea umeme wa magari. Nalenga magari ya kisasa hasa haya ya kutoka Japan. Ni chuo gani kizuri naweza jifunza umeme wa Magari tu. Maana magari yanayo kuja sasa yapo so Electric... Sasa naitaji kujing'amua kwenye hii ishu niweze kujiajiri. Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Wakuu naomba kujuzwa chuo kizuri kwa ajili ya kusomea umeme wa magari. Nalenga magari ya kisasa hasa haya ya kutoka Japan. Ni chuo gani kizuri naweza jifunza umeme wa Magari tu. Maana magari yanayo kuja sasa yapo so Electric... Sasa naitaji kujing'amua kwenye hii ishu niweze kujiajiri. Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Mar 5, 2022 #2 Ngoja waje kukupa muongozo...