Naomba kujuzwa chuo kizuri zaidi kwa mambo ya ushonaji (Tailoring)

Awsom

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2015
Posts
1,085
Reaction score
307
Habarini wakuu,

Naomba nifahamishwe ni wapi kilipo chuo kizuri na kinachofundisha kiutendaji zaidi katika fani ya ushonaji hapa Tanzania. Natanguliza shukrani.
 
Kivetendo ni ngumu,ila.ukitaka nadharia nenda vetaaa
 
Peramiho Trade School...ila sijajua wanaendeleaje kwa sasa they used to be good hasa kushona suti za viongozi
 
Habarini wakuu,

Naomba nifahamishwe ni wapi kilipo chuo kizuri na kinachofundisha kiutendaji zaidi katika fani ya ushonaji hapa Tanzania. Natanguliza shukrani.

Naku pm naomba cheki pm yako. Ila vyuo viko vingi cha muhimu ni wepesi wa kuelewa vitu kwa haraka! Kushona ni sanaa unachotakiwa kuwa nacho kabla hujaenda shule ni kujua kama unakipaji cha hiyo fani then kinachofuata ni mafanikio.
Check pm yako.
 
Mkuu Ukishasoma PMs utumabie na sisi jamvini
 
Naku pm naomba cheki pm yako. Ila vyuo viko vingi cha muhimu ni wepesi wa kuelewa vitu kwa haraka! Kushona ni sanaa unachotakiwa kuwa nacho kabla hujaenda shule ni kujua kama unakipaji cha hiyo fani then kinachofuata ni mafanikio.
Check pm yako.

Sawa mkuu,nina mdogo wangu ana kipaji hicho na toka akiwa mdg kabisa alikuwa anapenda kufanya ushonaji
 
Shukran mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…