Nenda kwa wataam wa meno, Kuna utaalam wa kuziba Kama Kuna tundu. Then unapewa dawa, inabak kupiga mswak daily mara mbil, jino halitosumbua tenaNasumbuliwa na jino linauma balaa sitaki kulin'goa maana mapengo niliyonayo yanatosha, alafu Kuna mtu kanitisha kaniambia ukienda kun'goa jino umri huu 30+ unaweza kupata shida kwenye macho...
Weeee!Nenda kwa wataam wa meno, Kuna utaalam wa kuziba Kama Kuna tundu. Then unapewa dawa, inabak kupiga mswak daily mara mbil, jino halitosumbua tena
Tiba za asili hazina guarantee utatumia gharama nyingi sana hadi siku utakapokuja kuibahatisha dawa sahihi.Mimi nataka tiba ya asili sipatani na hospitali mimi
Kama hupatani na hosipitali basi utapata taabu sana!Mimi nataka tiba ya asili sipatani na hospitali mimi
Basi na mimi nitafariki maana meno yangu karibu yote ni mabovu huwa yanalegea bila kuuma na kutoka yenyewe ila hili linauma na Kuna lingine ukiligusa linauma piaTumemzika mtu wiki hii kwa kugoma kung'oa jino, kuja kushtuka yule mdudu alikua ameharibu fizi vibaya sana, amefariki maskini.
Miaka ya nyuma nikiwa mdogo meno mawili ya juu ya mbele yaliweka tobo nikapelekwa hospitali wakaziba kilichotokea pale walipoziba siku zilivyokuwa zinaenda pakabanduka alafu pakatengeneza kama mwanya mpaka saiv hayo meno mawili yamepukutika yenyewe na kubaki pengo bila kuuma bila kun'goa Kama kuna mdudu anashambulia huyo mdudu ni hatari bado unanishauri nikazibe?Nenda kwa wataam wa meno, Kuna utaalam wa kuziba Kama Kuna tundu. Then unapewa dawa, inabak kupiga mswak daily mara mbil, jino halitosumbua tena
Ongea na wamasai wana dawa ya unga unaweka unasikiliziaMimi nataka tiba ya asili sipatani na hospitali mimi
Ndo maana anaomba ushauri ili apate dawa sahihi bila kutumia gharama kubwa Kama ulivyosema mababu zetu walitumia dawa za asili walikuwa very strong.Tiba za asili hazina guarantee utatumia gharama nyingi sana hadi siku utakapokuja kuibahatisha dawa sahihi.
Maana utakuwa unajaribu kwa wataalamu mbalimbali hadi umpate mtaalamu mkweli
Tafuta mti wa mpingo chukua mzizi wake chemsha na chumvi ile chumvi itayobaki usiitumie kwa matumizi yoyote na wala usimpe mtu kaitupee sukutua kama unavyopiga mswaki alafu lete mrejesho.Mimi nataka tiba ya asili sipatani na hospitali mimi