Kama anayo?!hiyo hiyo antibiotic ndiyo itasaidia siku tatu tu ila kama huna kisukari
ukiwa na kisukari huwa wakati mwingine kinachelewa au kutokupona kabisa inategemea na ugonjwa upo serious kiasi ganiKama anayo?!
Sawa drukiwa na kisukari huwa wakati mwingine kinachelewa au kutokupona kabisa inategemea na ugonjwa upo serious kiasi gani
Gonorrhea nenda tu hospital ukapigwe sindano. Unapenda utamu utakufaJaman Naomba Na Mimi Kujua Dawa Ya Kukausha Kidonda Kwenye Uume
Tafuta dawa moja inaitwa Mebo ni nzuri sana!Jaman Naomba Na Mimi Kujua Dawa Ya Kukausha Kidonda Kwenye Uume
Tuelekeza kwa faida ya baadaeungekuwa maeneo ya wafugaji ningekuelekeza dawa hizi za kienyeji utengeneze mwenyewe
Kama Ni hivyo nenda hospital mkuu!Ni Ugonjwa Tu Kaka Angu Alitokanao Gerezani Sasa Kwenye Harakati Za Kuchangia Madodoki Nikawa Na Mimi Nimeupata Na Sio Vidonda Tu Hadi Vipere Pia Ninavyo Kwenye Mapaja Na Mikononi
Nielekeze mimi ni mfugajiungekuwa maeneo ya wafugaji ningekuelekeza dawa hizi za kienyeji utengeneze mwenyewe