Naomba kujuzwa dawa ya kutibu Migraine na Tinnitus

Ziyech04

Member
Joined
Jun 24, 2021
Posts
10
Reaction score
7
Msaada jamani kwa anaefaham dawa ta kutibu migrain na Tinnitus.

Yaani kichwa kuuma sana upande mmoja au kwa nyuma juu ya shingo na kupata sauti flan ndani ya kichwa au masikio
 
Tumia amitryptyline tabs in long course itaondondoka tu japo among of side effects ya hiyo dawa ni tinnitus hata hivyo baada ya muda mwili ukishazoea dawa hiyo hali inapotea jumla na pia inatibu chlonic pain hasa za cranial nerves etc.
 
tumia amitryptyline tabs in long course itaondondoka tu.japo among of side effects ya hiyo dawa ni tinnitus hata hivyo baada ya muda mwili ukishazoea dawa hiyo hali inapotea jumla na pia inatibu chlonic pain hasa za cranial nerves etc

Ni kweli Amitriptyline inatumika kwenye haya mambo mawili:
1: Kutibu tinnitus
2: Kama preventative measure/kuzuia attack za migraine.

Bado kuna haja kama itawezekana:
1: Kumwona daktari bingwa wa masikio ili kujua aina/sababu za tinnitus.

2: Kumwona neurologist au physician ili kujua level ya migraine, nature ya maisha yako, vyakula unavyokula, kazi, mazingira kama yanachochea attacks. Ufanye au usifanye nini ili kupunguza shida husika.
 
Asante sana kwa msaada ubarikiwe
 
tumia amitryptyline tabs in long course itaondondoka tu.japo among of side effects ya hiyo dawa ni tinnitus hata hivyo baada ya muda mwili ukishazoea dawa hiyo hali inapotea jumla na pia inatibu chlonic pain hasa za cranial nerves etc
Asante kwa msaada ndugu yangu
 
Msaada jamani kwa anaefaham dawa ta kutibu migrain na Tinnitus.

Yaani kichwa kuuma sana upande mmoja au kwa nyuma juu ya shingo na kupata sauti flan ndani ya kichwa au masikio
Mkuu pole sana kwa maradhi yako nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako upate kupona uguwa pole.
 
Back
Top Bottom