MwanawaMUNGU41
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,036
- 737
Pole kwa hko kpngele mkuu.., mimi nmebobea zaid katika dawa za asili. Kuna miti kama mitatu hivi amabyo inamalza kabsa hlo tatizo na minyoo kwa mtoto wako itabaki kuwa history. Inatgmea upo mkoa gani ili tuangalie upatikanaj rahisi wa hyo miti. Akhsante.[emoji1621][emoji1621]Habari wanajukwaa,
Tafadhali anayejua dawa nzr ya kutokomeza kabisa minyoo tegu anisaide,inamsumbua sana binti yangu, nimeenda hospital mwanangu anapewa dawa na baada ya muda anawaona kwenye kinyesi, tafadhali nisaidieni.
Asante nimetoka tena Mloganzila nimeambiwa anywe albendazole ash na jioni kwa siku 14 ina maana doz 28Pole sana ndugu
Niko Dar es salaamPole kwa hko kpngele mkuu.., mimi nmebobea zaid katika dawa za asili. Kuna miti kama mitatu hivi amabyo inamalza kabsa hlo tatizo na minyoo kwa mtoto wako itabaki kuwa history. Inatgmea upo mkoa gani ili tuangalie upatikanaj rahisi wa hyo miti. Akhsante.[emoji1621][emoji1621]
Well.... Nafkir labda kwa upande wa kibit au kibaha picha ya ndege kama unaweza kufanikiwa hv kwa maana maeneo hayo kna vchaka vya wastan mfano kbha hapo ktuo cha shel nafkr utaipata.Niko Dar es salaam
Utachemsha majan kwa ujazo wa nusu lita. Utampa mtot morn kabla hajala chchte kwa ujazo wa robo lita.Niko Dar es salaam