Naomba kujuzwa dawa za muwasho kwenye korodani

Naomba kujuzwa dawa za muwasho kwenye korodani

Berlin stom

Member
Joined
Aug 4, 2023
Posts
34
Reaction score
21
Mimi naamini zipo dawa za kienyeji nzuri za miwasho na burning za korodani anayefahamu anisaidie wapendwa.

Karibuni
 
Nasoma comments maana mm ni mfuatiliaji mzuri wa dawa za asili
 
Nyoa mavuzi na uwe unavaa chupi safi usirudie kuvaa chupi hiyo hiyo siku.mbili

Kuwasha sababu yake mojawapo ni uchafu
 
Nyoa mavuzi na uwe unavaa chupi safi usirudie kuvaa chupi hiyo hiyo siku.mbili

Kuwasha sababu yake mojawapo ni uchafu
atafute sabuni maalumu za kuogea pia,,,
sio kwamba ukiwa hauna hela ndio uogee sabuni ya unga ,wengi tuna maisha ya kawaida sana na tunanunua sabuni za kuogea zinauzwa elfu 1 tu na unakaa nayo muda tu
 
Nyoa mavuzi na uwe unavaa chupi safi usirudie kuvaa chupi hiyo hiyo siku.mbili

Kuwasha sababu yake mojawapo ni uchafu
Unamshaurije mwanaume avae chupi? Chupi wanavaa wanawake.

Mwanaume havai kitu au akishindwa kabisa anavaa boxer.
 
Dawa ya muwasho ni kuukuna utachoka wenyewe kukuwasha
 
Back
Top Bottom