Naomba kujuzwa duka lenye mabati bora kwa bei nafuu

Naomba kujuzwa duka lenye mabati bora kwa bei nafuu

Simple F

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2016
Posts
1,293
Reaction score
1,767
Wanajamvi naomba kujuzwa duka lenye mabati yenye ubora na bei nafuu Dodoma maana nahitaji bati kama mia mbili (200) nitashukuru kwa msaada
 
Kwa dodoma sijajua kuna kiwanda gani; ila nakushauri ununue ya chenga chenga ni mazuri na pia hayapauki
 
Sijapata ndo nafanya mchakato wa kusafiri kwenda dar kwenye viwanda tatizo muda unanisumbua lakini nitafuatilia
Waweza nenda 4 ways viwandani kule
Kafanye quotation ya ALAF uone,
Jaribu na viwanda vingine pia kule 4 ways
 
Back
Top Bottom