Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Tumia Total Quartz 9000 nfc (5W-30) lita 4. Mimi nimetumia mara mbili kwenye gari yangu kama hio ya kwako. Ipo vizuri sana. Bei ni around elfu 65. Usisahau kubadilisha filter pia kama imechoka. Ni around elfu 15. Cheers.Wakuu
Naomba msaada.Hii gari sijawahi kubadili Oil tangu ninunue hivyo imefika wakati nataka kuweka Engine Oil.Naomba ushauri wa Engine bora kabisa na genuine kwa gari hii.
Ahsanteni
Hivyo vigari acha tu,hata spea ukiiokota jalalani ukiifunga tu imoooooooooooooooooooooIngekuwa ni Toyota Vits old model, ningekuambia utumie oil yoyote ile! Maana nilikamiliki hako kagari huko kijijini miaka hiyo, ilikuwa ukienda kumwaga oil kwa wale mafundi wetu, basi oil itakayo kuwepo siku hiyo, ndiyo hiyo hiyo inawekwa! Na kagari kanadunda tu.
Muhimu tu iwe ni ya gari za petrol.
Jaman mwenyewe nacho hakitumii nakiomba na Mimi nikimilik kabla sijatoka duniani 3m ipo uvunguni mwa kitandaHivyo vigari acha tu,hata spea ukiiokota jalalani ukiifunga tu imooooooooooooooooooooo
Inshallah utakipata mkuuJaman mwenyewe nacho hakitumii nakiomba na Mimi nikimilik kabla sijatoka duniani 3m ipo uvunguni mwa kitanda
Sent from my itel A32F using JamiiForums mobile app
Kagari hakabagui hakachagui sababu hakajui oil gani itakazika.....🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ingekuwa ni Toyota Vits old model, ningekuambia utumie oil yoyote ile! Maana nilikamiliki hako kagari huko kijijini miaka hiyo, ilikuwa ukienda kumwaga oil kwa wale mafundi wetu, basi oil itakayo kuwepo siku hiyo, ndiyo hiyo hiyo inawekwa! Na kagari kanadunda tu.
Muhimu tu iwe ni ya gari za petrol.
kameiga kwa baba yake noah old model,hawanaga makuu ya kubagua oil au vipuri,wako poa sana.Kagari hakabagui hakachagui sababu hakajui oil gani itakazika.....🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwaiy mkuu unataka kusema vitz old model ,,ina Roho Ngumu sana? Pia inahimiri barabara zote??Ingekuwa ni Toyota Vits old model, ningekuambia utumie oil yoyote ile! Maana nilikamiliki hako kagari huko kijijini miaka hiyo, ilikuwa ukienda kumwaga oil kwa wale mafundi wetu, basi oil itakayo kuwepo siku hiyo, ndiyo hiyo hiyo inawekwa! Na kagari kanadunda tu.
Muhimu tu iwe ni ya gari za petrol.
Halafu ina stability ya hali ya juu sana kwenye barabara zote; za vumbi na pia za lami.Kwaiy mkuu unataka kusema vitz old model ,,ina Roho Ngumu sana? Pia inahimiri barabara zote??
Aisee hii nzuri gari inakuwa laini. Nimeweka jumamosi ipo vizuri.Tumia Total Quartz 9000 nfc (5W-30) lita 4. Mimi nimetumia mara mbili kwenye gari yangu kama hio ya kwako. Ipo vizuri sana. Bei ni around elfu 65. Usisahau kubadilisha filter pia kama imechoka. Ni around elfu 15. Cheers.
Daah nami ndo nipo kwenye kutafuta iyo Gari ،,,nataka inisaidie kwenye mizunguko yanguHalafu ina stability ya hali ya juu sana kwenye barabara zote; za vumbi na pia za lami.
Mara kadhaa nimesafiri na hiyo gari kilometa zaidi ya 500 nikiwa peke yangu! Ilikuwa ni kawaida sana kutembelea mwendo wa 100-140 KPH. Haiyumbi aisee! Ilikuwa na tairi size 13! Na mafuta inanusa tu!