Anotherperson
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 601
- 672
Science ni sayansi. Kasome B.com, sheria na takataka zote, ila huwezi UHANDISI nyingi wanataka PCM AU PGM na Udakatari wanataka PCB NA PCM.
Nashukuru sana pprz nimekuelewa vizuri sana.. Naomba mweny link yoyote anipatie
Acha siasa na porojo za kahawani, kijana anataka muongozo makini katika safari yake ya maisha wewe unaleta hadithi za kinyantuzu,
Haya kagua hoja yako then uicontrast na heading...
::iritated:::
CBA...
mara nyingi mtu anapoamua kusoma hii comb, simply anamatarajio ya kujikita katika kilimo na ufugaji (agriculture), hapa utakutana na faculties nyingi sana kama veterinary medicine, agricultural science/general, aquatic & aquaculture,fisheries, holticulture, animal science nk nk...
Lakini ukiachilia mbali huo upande kua stadi zilizoshikamana sana na bios kama zoology, botany, biotechnology, molecular biology, prosthetics and orthotics, health sciences, microbiology,biology, some medical science courses nk nk...
Kwa sababu cba kuna chemistry you can also do, chemistry, pharmacy, PETROLEUM, CHEMISTRY, geochemistry,lab technology,textile technology, agr technology, nk nk...
Kwasababu ni science combination you can do environmental sciences, geology, education nk nk...
Kuna course zingine nyingi nyingi...
I've purposely kept petroleum chem in caps, in my words i'm advising you to keep it in your most sensitive part of your oblangata, when you're done with A'level tutakutana UDSM,never will you regret...
Karibu...
Ivi kuna utofauti gani kati ya Faculty na Courses,maana mimi naona kama ni vitu viwili tofauti!!
Anzisha thread yako mkuu.
Ivi kuna utofauti gani kati ya Faculty na Courses,maana mimi naona kama ni vitu viwili tofauti!!
uyu anaitaji kurekebishwa tu sio kuponda div5, coz ajafika chuo akajua kuna faculty na course, labda hata wewe kabla ujafika chuo ulikuwa na mategemeo ayo ayo ya kusoma faculty flani!!kuna tofauti kubwa sana mkuu.hawa div 5 wanapenda kujichanganya hawajui walisemalo
kuna tofauti kubwa sana mkuu.hawa div 5 wanapenda kujichanganya hawajui walisemalo