Naomba kujuzwa faida ya Tangawizi kwenye juisi hasa Juisi ya Parachichi

Naomba kujuzwa faida ya Tangawizi kwenye juisi hasa Juisi ya Parachichi

Mumlii

Senior Member
Joined
Mar 14, 2021
Posts
169
Reaction score
232
Habari wana JF

Huwa nakunywa, juisi mara nyingi wameweka tangawizi sa naomba nijue faida zake kwenye juisi . Inaleta flavor ama?
 
Kama umekunywa juice yenye tangawizi na hukugundua lolote basi kunywa yenye avocado pekee
 
Nenda Google ka search utaletewa faida zake katika mwili
 
Habari wana JF

Huwa nakunywa, juisi mara nyingi wameweka tangawizi sa naomba nijue faida zake kwenye juisi . Inaleta flavor ama?
Ina saidia Yale Mambo ya upungufu wa naniliu za akina baba
 
Back
Top Bottom